
Verse 1 nakuita kwa sauti ya chini, Nimepiga magoti Niko chini Wewe ndio ninakuamini Sauti lako laniita Kwa upendo na amani Chorus hakuna kama wewe, Ee Mkombozi, Upendo wako haina kipimo Ee mkombozi Mpango zako haziharibiki Eee mkombozi Verse 2 Nitasimama kushuhudia wema wako, nitaimba sifa zako mchana na usiku, maana ulinitoa mbali na maangamizi, na kunipa uzima kwa neema yako Chorus hakuna kama wewe, Ee Mkombozi, Upendo wako haina kipimo Ee mkombozi Mpango zako haziharibiki Eee mkombozi Verse 3 Jina lako litukuzwe Upewe sifa ardhini na mbinguni Mungu wa wajane Wa yatima na masikini Wewe ni mwamba wetu Wewe ni msingi wa imara . Chorus hakuna kama wewe, Ee Mkombozi, Upendo wako haina kipimo Ee mkombozi Mpango zako haziharibiki Eee mkombozi

