verse1 tuko pamoja nawe waniambia marafiki kwa shida na dhiki pamoja tuko nawe kwa shida nika baki najiuliza wapi rafiki uvundo wanaeneza kuwa sina hali ati siko ligi yao masikini bila maisha chorus 1 nakula nao naishi nao kumbe maadui wanipea maawazo zao kumbe mahasidi binadamu wajifanya rafiki kumbe maadui kikulacho kinguoni mwako wote mahasidi ukiwa nao tabasamu utadhani rafiki verse 2 ogopa marafiki vigeu-geu sa za shida tena wanakupenda wakati wa raha fitina za marafiki wengi yaninyima raha usipochunga wengi wao watakumaliza usoni tabasamu moyoni chuki tupu chorus 1 nakula nao naishi nao kumbe maadui wanipea maawazo zao kumbe mahasidi binadamu wajifanya rafiki kumbe maadui kikulacho kinguoni mwako wote mahasidi ukiwa nao tabasamu utadhani rafiki verse 3 tazama mwendo nikiwakanyaga kanyaga uchungu wangu nachukua natupa tupa wanachosema masikio nafunga funga langu ni jicho sina maoni ni kunyamaza uzuri wao kujifanya wazuri nawajua chorus 1 nakula nao naishi nao kumbe maadui wanipea maawazo zao kumbe mahasidi binadamu wajifanya rafiki kumbe maadui kikulacho kinguoni mwako wote mahasidi ukiwa nao tabasamu utadhani rafiki