Verse 1 Si. Mlinicheka oh kusema nimekwama Familia walinitenganisha Mimi sina Hali marafiki walikosa kushika simu zangu Maoni yao yalinifanya nihuzunike Ih ih mimi yo oh Chorus Mimi pawa za mungu zimefanya niishi ih ih Riziki zangu leo ni za mungu uh uh Hali yangu amepanga mungu uh uh Sitegemei binadamu nategemea mola Maisha yangu niyake eh ah ah Verse 2 Kama shida zangu zafanya nilie Nimola anipa mkono wake nishike wakati wengina sina hamu ya kuendelea Naye anitia moyo mola yakuendelea Nina mungu wangu naye sina Shaka ah Chorus Mimi pawa za mungu zimefanya niishi ih ih Riziki zangu leo ni za mungu uh uh Hali yangu amepanga mungu uh uh Sitegemei binadamu nategemea mola ah Maisha yangu niyake eh ah ah Verse 3 mungu wangu atoa huzuni zangu Na zote shida zangu atoa yeye shetani akiniangamiza sina wasiwasi Nguvu zake zani Linda zinanizunguka Apewe sifa zake atabaki kuwa mungu Chorus Mimi pawa za mungu zimefanya niishi ih ih Riziki zangu leo ni za mungu uh uh Hali yangu amepanga mungu uh uh Sitegemei binadamu nategemea mola ah Maisha yangu niyake eh ah ah