Song Cover Image

Umenipa uzima

Verse 1 Mungu wangu wa neema Nafungua moyo wangu Niko tayari kupokea Miujiza kutoka kwako Jaza roho yangu na neema zako Chorus Wewe ndio kimbilio langu Wakati wa dhoruba Wewe ndio mwamba wangu Usiotikisika Wema wako nimeshuhudia Umenipa uzima kwa neema zako Verse 2 Univishe Taji la rehema na amani Wewe unisitiri Katika dhiki na maumivu Nafsi yangu hupona Ninapo ita jina lako Chorus Wewe ndio kimbilio langu Wakati wa dhoruba Wewe ndio mwamba wangu Usiotikisika Wema wako nimeshuhudia Umenipa uzima kwa neema zako Verse 3 Unaniongoza Na mwema kama mchungaji Wewe ni mlinzi Unanikinga na kunilinda Hakimu wa haki ni wewe Atoaye hukumu kwa neema Chorus Wewe ndio kimbilio langu Wakati wa dhoruba Wewe ndio mwamba wangu Usiotikisika Wema wako nimeshuhudia Umenipa uzima kwa nehema zako