Verse 1 Naumia moyoni mwangu Naumia nafsini mwangu Naumia Mwilini mwangu Chorus Mponyaji naomba uniponye Mkombozi Naomba uniokoe Mwokozi Naomba wokovu Verse 2 Bwana wa majeshi Nitibu maradhi Oh mfariji Nipe faraja Nahitaji miujiza lako Chorus Mponyaji naomba uniponye Mkombozi Naomba uniokoe Mwokozi Naomba wokovu Verse 3 Alfa na omega Ondoa maumizi mwilini mwangu Rejesha nguvu zangu Tenda makuu Mungu wa miujiza Chorus Mponyaji naomba uniponye Mkombozi Naomba uniokoe Mwokozi Naomba wokovu


