Verse 1 Ninakiri Kuwa mtoto mpotovu Nakiri Nina zangu dhambi Naaja kwako unisamehe Chorus Naomba nisamehe Dhambi zangu Nirudishe Kwa njia iliyo nyooka Oh nisamehee Verse 2 Ni mimi nagonga Kwa milango yakoo Nifungulie Nakusihi nirehemu Ni mimi kiumbe chakoo Chorus Naomba nisamehe Dhambi zangu Nirudishe Kwa njia iliyo nyooka Oh nisamehee Verse 3 Nina tumaini kwako Angaza njia zangu Nakusihi unishike Unibariki Usiniache kamwe Chorus Naomba nisamehe Dhambi zangu Nirudishe Kwa njia iliyo nyooka Oh nisamehee