
[Intro] Bwana Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele Bwana Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele [Verse 1] Sisi je! Tutapataje kupona tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia [Repeat Verse 1] Sisi je! Tutapataje kupona tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia [Chorus] Tutapataje ku- Pona Pona (Pona) Tutapataje ku- Pona Pona (Pona) Bwana Mungu Ona Ona (Ona) Bwana Mungu Ona Ona (Ona) [Repeat Chorus] Tutapataje ku- Pona Pona (Pona) Tutapataje ku- Pona Pona (Pona) Bwana Mungu Ona Ona (Ona) Bwana Mungu Ona Ona (Ona) [Outro] Bwana Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele Bwana Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele

