
niko na circle ya boiz Ka shit ety Mbuyu mara Slim wote ni viuno mbaya prayer ni always mamorio washine hao ndio connection ya watoi Heri ni kosane na mokoro lakini si morio ju mokoro ni mokoro nguna hawezi Fanya nipige panga ndugu na kama ukona beef mm Niko na pork westside east Ka ulaya jeshi ya Allah sikuzote wakudumu tushadumu nahaijawahi kua lazima Karl Karl karl

