
Mimi Nawe Ndio Kusema Sasa
Ni mimi nawe, ndio kusema sasa Ni sisi wote, nasema sasa, Tunao nguvu na tuna sauti, Pamoja sasa nasema hapana. Ni sisi mabeste, nasema, Kwa roho, kwa hustle, nasema sasa, Tukikataa kwa nguvu zetu, Mswada huu hautapita. (Kwaya Kwa Pamoja) Pamoja, tunaungana, Kwa uthabiti wetu, tuko ready, Kwa mtaa yetu, nasema, Hatukubali, tutasimama. (Sauti ya Kwanza na Pili kwa Pamoja) Ni mimi sasa, nasema, Ni sisi wote, nasema sasa, Tuna nguvu, tuna sauti, Pamoja tutasema hapana mimiiii nawe ni mimi nawee situanze ,njooo tunakataa , pam pam pam pam ni mimi na we we naweeeeee kenya moja kenya ya umoja bila ufisadi tunasonga kileleni

