
Forever and Never
[INTRO] Yeah, yeah... Adowana... Yeah, let's go! [VERSE 1] Adowana, want to watch that bitches fuck She do wanna want big dick Huu mchongo leo lazima tu utik-tok Hata kama kuna wanafiki Kuna muda huwa nataka bati Ananigea, wala haina muda Na ma-group ya umbea, we na mm Forever and never, naombea [PRE-CHORUS] Yeah, yeah... Tusije kugombana eti kisa chenchi Nazisaka, ipo siku ntamiliki benki Swezi ku-date na wale videnti Taka taka, maneno maneno sipendi [CHORUS] Huu mchongo leo lazima tu utik-tok Hata kama kuna wanafiki, hatutoki block Nazisaka chenchi, ipo siku ntamiliki benki Taka taka maneno, maneno sipendi Yeah, yeah... Forever and never naombea We na mm, mpaka mwisho naaminia Hata kama kuna wanafiki wanatuchungulia Mimi na wewe, mapenzi yetu naendeleza [OUTRO] Yeah... Adowana... Huu mchongo lazima utik-tok... Forever and never... Yeah, yeah!


