Song Cover Image

Bwana (Alt Version)

+ Show full styles
V6

[Intro] Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana [Verse 1] Wewe ni Bwana Mungu Mtakatifu Wewe ni Bwana Mungu Mtakatifu Enzi yote, Bwana Wewe unastahili Enzi yote, Bwana Wewe unastahili [Verse 2] Nasi twaungana na maserafi Na makerubi kukusifu Nasi tunaungana na maserafi Na makerubi kukusifu Bwana Jina lako ni kuu Sana katika maisha yetu [Verse 3) Hapa tupo kukusifu Hapa tupo kukuabudu Bwana Jina lako kuu Sana katika maisha yetu Hapa tumekuja sisi Kukusifu wewe Bwana [Verse 4] Mioyo yetu tunaleta kwako Maana tunakungoja Shauku yetu ni wewe pekee Maana tunakungoja [Outro] Akili zetu zinakuwaza Bwana Fahamu zetu zinakutegemea Akili zetu zinakuwaza Bwana Fahamu zetu zinakutegemea Ee Bwana Bwana