Verse 1 Nina Imani kwako Mfalme wa mbingu na ardhi Nimesimama mbele zako Unitatulie shida zangu Nina hofu mbeleni mwangu Chorus Mungu wetu mwenye nguvu Unikumbuke Sina nguvu wakupigana nao Nipe nguvu Nifunguwe macho nieone mbali Verse 2 Wakati maisha inanipiga teke Naita jina lako peke Nikipoteza imani kwako Nakumbuka jina lako Kuwa wewe ndio mwokozi wangu Chorus Mungu wetu mwenye nguvu Unikumbuke Sina nguvu wakupigana nao Nipe nguvu Nifunguwe macho nieone mbali Verse 3 Nifungulie njia baba mtakatifu Niguze na mikono zako Niponye na maovu za dunia Nifunike na mabawa zako Nihifadhi kwa nehema zako Chorus Mungu wetu mwenye nguvu Unikumbuke Sina nguvu wakupigana nao Nipe nguvu Nifunguwe macho nieone mbali