Intro Roho ya yesu Roho ya yusufu Verse 1 wanadamu tuwe waminifu Tusiwe wasaliti kama ndugu za yusufu Tusiwe waongo kama pedro Aliyekana yesu mara tatu Mbele wa umati Sio kama yuda msaliti wa yesu Chorus Tukumbuke roho ya yusufu Tukumbuke roho ya yesu alisameha sabini mara saba Hivo ndivyo aliwasameha yusufu ndugu zake Waliomsaliti nakumtupa mbali Ju ya chuki na uroho moyoni mwao Verse 2 Yesu alisameha Dhambi ya wasaliti wake Roho yake ni wa utukufu mkubwa Naye yusufu aliwasamehea ndugu zake Roho yake ni wa utukufu mkubwa Eh wanadamu tuwe na uadilifu Tuwe na msamaha kwa wenzetu na upendo Chorus Tukumbuke roho ya yusufu Tukumbuke roho ya yesu Yesu alisameha sabini mara saba Hivo ndivyo aliwasameha yusufu ndugu zake Waliomsaliti nakumtupa mbali Ju ya chuki na uroho moyoni mwao Bridge Oh roh yetu Oh roho yetu Iwe mfano wa yesu Verse 3 Tuwe na roho mfano za watoto alitoa mfano kwao yesu kuwa Ufalme wa mungu ni yao Alisema tusishuhudie uongo Wala tusiue na tusiibe Heshimu wazazi wetu tuwapende jirani Yetu Kama nafsi yetu Chorus Tukumbuke roho ya yusufu Tukumbuke roho ya yesu Yesu alisameha sabini mara saba Hivo ndivyo aliwasameha yusufu ndugu zake Waliomsaliti nakumtupa mbali Ju ya chuki na uroho moyoni mwao Outro (Fading) Roho ya yusufu Roho ya yesu