
[Spoken Intro β calm, deep voice] Eeh... Sometimes school isn't just about books. Sometimes... it's about the people you meet, the jokes you share, the pressure you survive, and the memories you carry. Hii ni story ya circle yangu. Sio perfect circle... lakini ni yetu. Binti... Binti tulisoma pamoja primary, same class, na sai... she's my deskmate tena. Na huyu ni mmoja wa wale watu huwezi kaa naye bila kucheka. Funny naturally... hana force comedy. Then kuna Biggy... Biggy, real name Leon. Huyu ni my real friend, my closest bro. Tumezoeana mpaka sometimes huhitaji words kujua venye mwingine ako. Tunaenda pamoja, tunacheka pamoja, na hatuachi mwingine nyuma. Then kuna Pauline... One of our friends, na pia comedy yake iko natural. Akiingia kwa story, unajua lazima kutakuwa na laughter. Na Joy... Joy ni cartoon wetu bana! π Hii dem ametuzoesha comedy mpaka tumeacha kushangaa. Kila siku kuna kitu mpya. Then kuna Harrison... Nilimmeet kwa non-formal. Lakini tukampea jina... Pastor. Pastor yuko kwa sura ya kazi kila saa. π Hata ukiwa unacheka, yeye anakaa kama ameitwa kwa meeting serious. Nyamawi... Tulisoma pamoja primary, na tulikuwa desk mates back then. Life ikazunguka... na sai tuko pamoja tena kwa non-formal. Funny vile watu unaweza part ways, then years later... life ikawarudisha same place. Mwanaisha... Huyu ni girlfriend wangu. Always on my side, always helping me feel less pressure. Sometimes si lazima mtu akupe solution... sometimes presence yake tu inatosha. Then kuna Samhonge... Tunamuita Samhong. π Funny, cool, na yuko na vibe yake. Then kuna Idd... Tulisoma pamoja primary, same class. Quiet guy... lakini usidanganywe na ukimya. π Anaweza kuwa mischievous kuliko unavyothink. Sasa tuko pamoja tena kwa non-formal. Halima... Nilimmeet huku non-formal. Na kitu moja kuhusu yeye... hajui kuwa angry. π Always happy, always smiling, always bringing good energy. Daniel... Bro huyu ni funny na happy. Akiwa around, silence haikai long. Then kuna Hillary... Primary school classmate. Back then tulikuwa cool. Years zikapita... tukapatana tena non-formal. Na vibe bado iko. Eric... Newcomer kwa school. Anapenda kuwa yeye mwenyewe, hawezi copy mtu. Na mara mingi... uko kwa principal's radar. π Then kuna Rooney... My friend tangu primary. Sai tuko streets pamoja, na bado tuko same non-formal journey. Then Ali... One of the friends nilimeet huku non-formal. Sometimes friendship huanza tu na, "Bro, uko aje?" Then before ujue... mko close. Chikunde... Huyu ni one of the people niko close with kama Biggy. Tulikua streets together, tukaingia same high school, then life ikatupatanisha tena kwa non-formal. Three chapters... same friendship. Na mwisho... Juma. One of the people niko close with. Quiet guy... happy guy... Anaishi life yake, haforce anything, anafanya vitu zake kwa pace yake. [Pause] Hawa ndio maboy na madem wamekuwa part ya story yangu. Different personalities. Different backgrounds. Different stories. Lakini somehow... tukapatana kwa same place. Primary... streets... high school... non-formal... Some friendships started long ago. Others started recently. But every single person ameacha memory. Na siku moja, tukiwa tumeendelea na maisha, tutakumbuka hizi days... Tutacheka vile Binti alikuwa anafanya comedy, Joy akiwa cartoon, Pastor akiwa na sura ya kazi, Biggy akiwa karibu kila time, na vile hii whole crew ilikuwa kitu moja. Hii sio story ya perfect people. Ni story ya real people. My people. My circle. Na hii chapter... bado haijaisha.

