
World Cup America by Kelvin K. M
Hurray North America! Time for northern America Host of the historic event Africa and Antarctica Europe, Australia, Asia and Americas All charging like never before In greatest tournament of age That takes centre stage! Three co-hosts of North America Mexico, Canada and United States of America Witnessing quality footballing skills From the rest of the world. How beautiful seeing the big boys! Ronaldo and Messi Mbappe, Halland and Junior Vinicious In the highest world stands Taking it head on, on a rare scenario. Malenga wa Vilimani (Kelvin Kombo Motuka) July 1, 2026 Tafsiri: Huree Amerika! Wasaa wa Amerika Kaskazini Mwenyeji wa tukio la kihistoria Afrika na Antaktika Uropa, Australia, Ashia na Amerika Yote yaking'ang'ana kuliko awali Katika kindumbwendubwe kipevu Kipambacho moto! Wenyeji wenza watatu wa Amerika Kaskazini Meksiko, Kanada na Marekani Washuhudia stadi kali za kabumbu Kutoka kwingineko ulimwenguni. Ulimbwende ulioje kuwaona nyota! Ronaldo na Messi Mbappe, Halland na Junior Vinshia Katika nyuga za juu zaidi ulimwenguni Wakipambana, katika tukio la tukizi. Kelvin Kombo Motuka (Malenga wa Vilimani) Julia 1, 2026

