
Intro Oh allelluya Oh baba Verse 1 Hapo mwanzo mungu Aliumba ardhi na mbingu Akasema Iwe nuru ,na ikawa nuru akasema Iwe anga katikati ya maji Akaumba Viumbe kadhaa vya ajabu Akavibariki akisema Zaeni mjaze maji baharini Na mzidi katika nnchi Na vizae viumbe Vyaa jinsi yake Akafanya mnyama mwitu Kwa jinsi yake akafanya Kila kitu kiteambeacho Kwa jinsi yake Chorus Mungu akaona kila kitu alokifanya Ni chema aliumba kila kitu Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya sita Hivo ndivyo vizazi vya mbingu Zilipoumbwa Akapanda bustani Upande wa mashariki wa edeni Yeye ni muumba wa ardhi na mbigu Muumba wa angaa na maji Oh mungu baba muumba wa yote Verse 2 Akaumba binadamu Kwa mfano wake Mwanamke na mwanaume aliwaumba Akawabariki akiwambia Zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi akasema Tazama nimewapa kila mche itoae mbegu Kila kitu kitembeacho ju ya nchi Chenye uhai ndiyo chakula chenu Chorus Mungu akaona kila kitu alokifanya Ni chema aliumba kila kitu Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya sita Hivo ndivyo vizazi vya mbingu Zilipoumbwa Akapanda bustani Upande wa mashariki wa edeni Yeye ni muumba wa ardhi na mbigu Muumba wa angaa na maji Oh mungu baba muumba wa yote Verse 3 Siku ya saba alimaliza kazi lake aloifanya Akabariki siku hiyo Akaacha kufanya kazi yake Yote aliofanya Akaibariki siku ya saba Na mungu akalistarehe Akamnena adamu Naye adamu akanena viumbe vyote Chorus Mungu akaona kila kitu alokifanya Ni chema aliumba kila kitu Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya sita Hivo ndivyo vizazi vya mbingu Zilipoumbwa Akapanda bustani Upande wa mashariki wa edeni Yeye ni muumba wa ardhi na mbigu Muumba wa angaa na maji Oh mungu baba muumba wa yote

