Verse 1 Wengi walinicheka mimi ih kuwa nimekwama Familia walinitenganisha Mimi sina Hali Wote marafiki walikosa simu zangu kupokea Maoni yao yalinifanya nihuzunike Kunifanya nilie Ih ih mimi yo oh Chorus pawa za mungu zimefanya niishi ih ih Mali yangu leo ni za mungu uh uh Hali yangu amepanga mungu uh uh Sitegemei binadamu nategemea mola Maisha yangu niyake eh ah ah Verse 2 Kama shida zangu zafanya nilie Nimola anipa mkono wake nishike wakati wengina sina hamu ya kuendelea Naye anitia moyo mola yakuendelea Nina mungu wangu naye sina Shaka ah Chorus pawa za mungu zimefanya niishi ih ih Mali yangu leo ni za mungu uh uh Hali yangu amepanga mungu uh uh Sitegemei binadamu nategemea mola ah Maisha yangu niyake eh ah ah Verse 3 mungu wangu atoa huzuni zangu Na zote shida zangu atoa yeye shetani akiniangamiza sina wasiwasi Nguvu zake zani Linda zinanizunguka Apewe sifa zake atabaki kuwa mungu Chorus pawa za mungu zimefanya niishi ih ih Mali yangu leo ni za mungu uh uh Hali yangu amepanga mungu uh uh Sitegemei binadamu nategemea mola ah Maisha yangu niyake eh ah ah