verse 1 kumbe kweli mapenzi kizunguzungu m-me wangu nkikuona sina nguvu naishiwa pumz penzi sina nguvu kama nyoka kwenye jua sina nguvu nalegea nki kuona kizunguzungu chorus ukinini guza hapa nalegea ukini chum moyo wa dunda pum pum ukini kumbatia ukini chum moyo wa dunda pum pum ukinikumbatia verse2 mapenzi yanifanya kiziwi mawazo sitaki Nalegea kama mti usio na mizizi ni mimi na wewe ata kama maelekeo gizani upinzani sitaki kamwe mimi kiziwi wanasema Nimefungwa na ndoto zisizo na msingi. chorus ukinini guza hapa nalegea ukini chum moyo wa dunda pum pum ukini kumbatia ukini chum moyo wa dunda pum pum ukinikumbatia verse3 Mapenzi yanifanya kiziwi, Sikii hoja, moyo hausikii. Mawazo sitaki, yananichosha, Kila nikiyapinga, wanazidi kunikosha. Sio kwa maneno tu, bali kwa nafsi yangu Ulipokuja, dunia yangu ilibadilika, chorus ukinini guza hapa nalegea ukini chum moyo wa dunda pum pum ukini kumbatia ukini chum moyo wa dunda pum pum ukinikumbatia