
Verse 1 Hapa duniani Watu wapigania cheo Wanashindana nguvu Wanapimana nani tajiri Kushinda wengine Chorus Wanasahu Mali ni ya mungu Mfalme wa wafalme Wanasahu Nguvu ni ya mungu Mfalme ya wafalme Verse 2 Wanaonyesha magari Makubwa kushinda ombi lao Wanaonyesha nyumba Kubwa kushinda imani yao Wana mali bila utu Chorus Wanasahu Mali ni ya mungu Mfalme wa wafalme Wanasahu Nguvu ni ya mungu Mfalme ya wafalme Verse 3 Roho zao Zimejaa tamaa na chuki Hawapendi Kuona wengine waki inuka Wanataka ufalme hapa duniani Chorus Wanasahu Mali ni ya mungu Mfalme wa wafalme Wanasahu Nguvu ni ya mungu Mfalme ya wafalme

