Song Cover Image

Oh binadam

Verse 1 Kuna mda niliomba omba na jibu sipati mawazo za kishethani zika nishika Nilifikiria kunywa sumu niende Ama kujinyonga ili niende Labda kujirusha kwa maji niende Nili amua kusimama kwa barabara nigongwe niende Chorus Nilisikia sauti ikiniambia oh binadam Usiende wakati wako bado haijafika Nina habari mzuri kwako oh binadam Ombi lako limejibiwa Leo binadam Nenda na nehma zangu binadam Nenda na nehma zangu binadam Verse 2 Nilianguka chini kuabudu magotini Kusifu mola nikaomba msamaha Mola nisamehe kwa kuwa na shaka Nilikosa Imani kwako nisamehe baba Uniepushe na adhabu zako we mola Ni ibilisi alinipotosha eh mola Chorus Nilisikia sauti ikiniambia oh binadam Usiende wakati wako bado haijafika Nina habari mzuri kwako oh binadam Ombi lako limejibiwa Leo binadam Nenda na nehma zangu binadam Nenda na nehma zangu binadam Verse 3 Asahnte bwana Jina lako litukuzwe Uninusuru unapozuru wengine Unishike wakati wa Shaka nipe Imani Wakati wa shida uimarishe langu Imani Usiniache nipoteze njia eh mola Uniepushe na mawazo za kishethani Chorus Nilisikia sauti ikiniambia oh binadam Usiende wakati wako badi haijafika Nina habari mzuri kwako oh binadam Ombi lako limejibiwa Leo binadam Nenda na nehma zangu binadam Nenda na nehma zangu binadam