verse 1 kila siku najiuliza mbona mimi shida zote za dunia zanifuata najipata natupa mkono kama hayawani oh dunia ni kama sina nyota bali ni shida shida chorus mawazo yanifanya wazimu naongea peke yangu barabarini watu wasema huyu ana mapepo niko sawa , sawa sawa ila mawazo yanifanya wazimu verse 2 ukuniona ni kama sina hamu usione nimejaza mingi uvivu najaribu kila kona ila sina kazi naomba majaliwa anione basi sita kata tamaa yani fanya mawazo chorus mawazo yanifanya wazimu naongea peke yangu barabarini watu wasema huyu ana mapepo niko sawa , sawa sawa ila mawazo yanifanya wazimu verse 3 wafikiria mi hayawani , bali ni mawazo, mawazo hali ya dunia yani peleka ,sioni mbele ni mawazo pia sioni nyuma kichwani tupu mawazo mali ya dunia yakimbia sifiki makao yangu yanifanya mawazo mawazo chorus mawazo yanifanya wazimu naongea peke yangu barabarini watu wasema huyu ana mapepo niko sawa , sawa sawa ila mawazo yanifanya wazimu