Verse 1 Alleyluyah Jina lako litukuzwe Jina lako lipewe heshima Nguvu zako Latetemesha ardhi Chorus Wewe ni mungu wa wingi rehema leo na kesho tena Tutakusifu mola Mkubwa na mfalme wetu Verse 2 Ahadi zako unatimiza Hakuna aliye juu Ila wewe tuu Hakuna aliyekamilika Ila ni wewe tu Chorus Wewe ni mungu wa wingi rehema leo na kesho tena Tutakusifu mola Mkubwa na mfalme wetu Verse 3 gizani uniongoze nuru, kwa udhaifu unipe nguvu. Nisamehe, uniongoze, unibariki, we mungu gizani uniongoze nuru Chorus Wewe ni mungu wa wingi rehema leo na kesho tena Tutakusifu mola Mkubwa na mfalme wetu