Song Cover Image

Yesu Ni Namba Moja

+ Show full styles
V6

[Chorus] Yesu ni namba moja (aah) Yesu ni namba moja (aah) Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja (aah) [Verse 1] Alitoka enzini Kuja ulimwenguni Alitoka enzini Kuja ulimwenguni Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja (aah) [Verse 2] Alitembea nasi Akawaponya wengi Alitembea nasi Akawaponya wengi Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja (aah) [Chorus] Yesu ni namba moja (aah) Yesu ni namba moja (aah) Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja (aah) [Bridge] Alikubali kuteswa Alikufa msalabani Akalipa deni la dhambi Akaishinda mauti Akapaa mbinguni Katuandalia makao Yesu ni namba moja (aah) [Repeat Bridge] Alikubali kuteswa Alikufa msalabani Akalipa deni la dhambi Akaishinda mauti Akapaa mbinguni Katuandalia makao Yesu ni namba moja (aah) [Final Chorus] Yesu ni namba moja (aah) Yesu ni namba moja (aah) Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja (aah) [Outro] Yesu ni namba moja (aah) Yesu ni namba moja (aah) Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja Yesu ni namba moja (aah)