Song Cover Image

start xx

+ Show full styles
V6-MINI

[Intro] Start up on my soul No fake stakes Nasaka doo Beki nakaba Nipande stages Ni bebe ndoo De for more Sihitaji cake Inobana koo You know what I mean Bila mii [Verse] Huwezi ushindani Njoo Njoo nikuchane Uachane na hamwezi nilipo Nakaunataka Tungane NahitajI malipo Finitto Sina kesi Ndo maana mi nipo Popote unakotaka Minatimba Am a winer man Ndomanaweza kutugisha mimba Mshamba toka mashambani Leo nimekuja town Navimba mpaka watoto wakike Wana pandisha gauni Bila kusau Bado wamoto Nanapanda dau Kimziki Kisiki Bila beat sioni jau Wanaotaka kushindana Niko mbele haswaa Nanawafanya ma produce Wanapigwa butwaa Wanashangaa kwann Nawapa ushauri nasaha