
[Verse] Nimekuja hapa kwako Na sioni kama nitatoka Na vile unanifanyia We ni mwanga wa kutosha [Chorus] Usiku nikilala nawe Naishia kufikiria kesho Ila kesho sitawahi kuamka 'Cause umeniwasha kama moto wa kiberiti Kama moto wa kiberiti Kama moto wa kiberiti Umeni (Meni) washa kama moto wa kiberiti Kama moto wa kiberiti Kama moto wa kiberiti Umeni (Meni) washa kama moto wa kiberiti [Verse 2] Nimekuja hapa kwako Na sioni kama nitatoka Na vile unanifanyia We ni mwanga wa kutosha [Chorus] Usiku nikilala nawe Naishia kufikiria kesho Ila kesho sitawahi kuamka 'Cause umeniwasha kama moto wa kiberiti Kama moto wa kiberiti Kama moto wa kiberiti Umeni (Meni) washa kama moto wa kiberiti Kama moto wa kiberiti Kama moto wa kiberiti Umeni (Meni) washa kama moto wa kiberiti

