Song Cover Image

Hakuna Kama Wewe. - By Wyclife Awiti

Nimetafuta, Rafiki kama wewe, Sijapata kama wewe, Wewe ni Mungu, Muumba Mbingu na nchi Hakuna Aliye kamawewe. Huwezi fananishswa, Huwezi linganishwa, Huwezi badilisha, Wewe ni Mungu Mkuu. Nakuabudu Bwana Yesu, Najitolea kwako tu, Nakusujudu,peke yako Chini ya miguu yako, Uwezo wako wanitosha, Fadhili zako zanitosha, Wewe ni Mungu,wa milele Nakuabudu Bwana Wangu. Haleluya, Haleluya, Nakuabudu Bwana. Haleluya, Haleluya, Uhimidiwe Bwana, Haleluya, Haleluya, Usujudiwe Milele Haleluya, Haleluya Hakuna kama wewe