Song Cover Image

Bibilia ndio tikitok yangu

Intro Jina lake litukuzwe Lifanyike duniani kama mbinguni Vese 1 Kuna wakati nimejawa na huzuni Nashindwa kuzuia machozi Kuna wakati nina shaka Nikitafuta mwelekeo Ila najisitiri na neno la mungu Chorus Bibilia ndio tikitoki yangu Nafungua bibilia Napata raha kwa neno la mungu Nikiwa na huzuni Nasoma bibilia napata faraja Bibilia ndio tikitoki yangu Verse 2 Kuna wakati shetani ananifuata Kuna wakati nashikwa na majaribu Na maovu za kidunia Kuna wakati najiuliza maswali Zisizo furahisha muumba wangu Chorus Bibilia ndio tikitoki yangu Nafungua bibilia Napata raha kwa neno la mungu Nikiwa na huzuni Nasoma bibilia napata faraja Bibilia ndio tikitoki yangu Verse 3 Kuna wakati nina tamaa Za usherati za dunia Nakumbuka neno lake muumba Nafungua bibilia Napata jibu kutoka kwa mola Chorus Bibilia ndio tikitoki yangu Nafungua bibilia Napata raha kwa neno la mungu Nikiwa na huzuni Nasoma bibilia napata faraja Outro Jina lake litukuzwe Lifanyike duniani kama mbinguni Bibilia ndio tikitoki yangu