
Intro Eh mungu baba Alleluyah Verse 1 Mungu wangu mwenye nguvu Ni wewe Nguvu zako zanilinda eh baba Nipe subira wakati wa majaribu Nifungulie macho Nione mbali kwa uokovu wako Eh baba nilinde na mahangamizi Chorus Eh Niinue mola Oh niinue baba Usinipite unapo bariki wengine Unisitiri na uniepushe kutoka kwa adhabu yako kali Unielekeze kwa njia ya uzima Milele uwenami ewe baba Imarisha amani yangu kwa neno lako Allelluyah alleluyah Nipe roho mtakatifu iwe ulinzi kwangu Alleluya alleluya alleluya Verse 2 Eh baba Nifunike na mabawa zako, jicho la watu lisiniangamize Nipe hekima, asinidanganye ibilisi Jehova , niko mbele zako nime nyenyekea Naomba msada kutoka kwako Nibariki na baraka zako hapa na ahera Chorus Eeh Niinue mola Oh niinue baba Usinipite unapo bariki wengine Unisitiri na uniepushe kutoka kwa adhabu yako kali Unielekeze kwa njia ya uzima Milele uwenami ewe baba Imarisha amani yangu kwa neno lako Allelluyah alleluyah Nipe roho mtakatifu iwe ulinzi kwangu Alleluya alleluya alleluya Verse 3 Jina lako lisikike usiku na mchana Eh Roho yako inilinde eh baba Nipe nguvu nipigane na maadui Oh mkono yako inishike inilinde Roho mtakatifu inisitiri oh baba Uninusuru eh baba kwa nguvu zako Chorus Eh Niinue mola Oh niinue baba Usinipite unapo bariki wengine Unisitiri na uniepushe kutoka kwa adhabu yako kali Unielekeze kwa njia ya uzima Milele uwenami ewe baba Imarisha amani yangu kwa neno lako Allelluyah alleluyah Nipe roho mtakatifu iwe ulinzi kwangu Alleluya alleluya alleluya Outro Eh baba nilinde Eh baba nibariki Roho yako iwe moyoni mwangu

