Song Cover Image

Jambo! Jambo Bwana!

June 25, 2024 at 2:22 PMv3.5

Jambo! Jambo Bwana! Habari gani? Nzuri sana. Wageni, mwakaribishwa, Kenya yetu Hakuna Matata. Kenya nchi nzuri, Hakuna Matata. Nchi ya maajabu Hakuna Matata. Nchi yenye amani, Hakuna Matata. Hakuna Matata, Hakuna Matata. Watu wote, Hakuna Matata, Wakaribishwa, Hakuna Matata. Hakuna Matata, Hakuna Matata

User avatar
0 / 500

No comments yet!

Be the first one to show your love for this song