
Intro Falling to the pressure of depression, Na everything that's going on, Hakuna anaye-understand my pain, No shame, making me nothing for their gain. Pre-Chorus I don’t know whooooo’s out there to save me, Yeeeeeeeaaah... Chorus Niokoe, niokoe, Nafeel sijiwezi. Niokoe, niokoe, But if I don’t, who will? Save me, save me, me save me, Save me, save me, me save me. Ni mimi pekee naweza kujiokoa. Verse 2 Mean voices kwa my head, Zinani-make nifeel ashamed, Zinataka I stay afraid. But sitalisten, mimi ni brave. Nitajipush ahead, I am gonna go on my way and saaaave, Meeee, yeah. Chorus Niokoe, niokoe, Nafeel sijiwezi. Niokoe, niokoe, But if I don’t, who will? Save me, save me, me save me, Save me, save me, me save me. Ni mimi pekee naweza kujiokoa. Bridge Haijalishi vita, Nitashikilia kwa nguvu. Nitapata furaha, Kwa kufanya yaliyo sawa. Mimi ni mwanga, Katika giza langu kuu. Final Chorus Niokoe, niokoe, Nafeel sijiwezi. Niokoe, niokoe, But if I don’t, who will? Save me, save me, me save me, Save me, save me, me save me. Ni mimi pekee naweza kujiokoa. Outro Niokoe, niokoe... Nitajiokoa.